Yote namtolea Yesu, Nampa moyo wote, Nitampenda siku zote, Namwandama kila saa. Yote kwa Yesu, Yote kwa Yesu, Yote kwako, Ee Mwokozi, Natoa sasa. Yote namtolea Yesu, Nainamia pake; Nimeacha na anasa, Kwako Yesu nipokee, Yote namtolea Yesu, Nifanye niwe wako; Nipe Roho yako, Bwana, Anilinde daima, Yote namtolea Yesu, Nami naona sasa; Furaha ya ukombozi, Nasifu jina lake. Mel : Winfield Scott Weeden 1896 [ALL TO JESUS I SURRENDER] Text: Judson Wheeler Van DeVenter 1896 "I Surrender All" Swahili: "Yote namtolea Yesu" Web : http://www.liederschatz.net